Mbunge Ukerewe, naye aikimbia Chadema

ALIYEKUWA mbunge wa Chadema katika jimbo la Ukerewe, mkoani Mwanza, Joseph Mkundi, hatimaye amemwaga manyanga. Anaripoti Mwandishi Wetu …. (endelea). Katika barua yake kwa Spika wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, mbunge huyo ameeleza kuwa ameamua kujiuzulu wadhifa wake wa ubunge, pamoja na uwanachama wa Chadema, kufuatia “kutopata ushirikiano kutoka kwa viongozi wake wa juu.” ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Thursday, 11 October

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News