Mbunge wa Siha, Dkt. Godwin Mollel (CCM) Adai Mpango wa Tundu Lissu Kupigwa Risasi Uliratibiwa na CHADEMA Wenyewe.

Mbunge wa Siha (CCM), Dk Godwin Mollel amesema tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 jijini Dodoma ni mpango uliosukwa na Chadema na kutoa sharti kwa chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania kuwa wakilitimiza atakuwa tayari kuthibitisha.Dkt. Mollel ambaye alikuwa mbunge wa Chadema na baadaye kuhamia CCM ambako aligombea tena na kurejea bungeni akiwa amebadili chama, ameliambia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  jana Ijumaa kuwa yeye aliiba sampuli ambazo chama hicho kilimkataza kuzitumia.Mbunge huyo amedai kuwa alipojaribu kuwasilisha sampuli hizo ili zipelekwe Afrika Kusini...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Saturday, 9 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News