Mbwana Samatta aibuka Bungeni

Ramadhan Hassan,Dodoma Mbunge wa Viti Maalum,Amina Molel (CCM) ameomba mwongozo bungeni akihoji ni kwanini Nahodha wa timu ya Taifa na Mshambuliaji wa timu ya Genk ya Ubelgiji,Mbwana Samatta hapongezwi na Serikali. Mara baada ya kumalizika kwa kipindi cha maswali na majibu,Mbunge huyo alisimama na kuomba mwongozo kwa Spika wa Bunge Job Ndugai. Katika mwongozo wake,Mollel amedai kwamba Samatta amefanya vizuri lakini Serikali ipo kimya.   “Mheshimiwa Spika Mtanzania mwenzetu Mbwana Samatta anayecheza Soka la kulipwa Nchini Ubelgiji ameiwezesha timu hiyo kuchukua ubingwa ameongoza Ligi hiyo kwa kufunga mabao 23. “Kutokana...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 22 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News