Mbwana Samatta amjibu Kelvin John Mbappe

Kinda wa Serengeti Boys Kelvin John ‘Mbappe’ kwa kinywa chake alitamka kwamba role model wake ni Mbwana Samatta, mtu ambaye anamfuatilia sana namna ya uchezaji wake na anatamani one day afikie level zake. Salam hizo tukazifikisha kwa kwa mwenyewe Mbwana Samatta kwamba kuna dogo anatamani kuwa kama wewe na ikiwezekana avuke kwenda mbali zaidi. Majibu ya Samatta yalikuwa hivi: “Nimefanya kazi kubwa kuwashawishi vijana wengine kucheza kwa kiwango ambacho mimi nimefika au kwenda mbali zaidi, kwa hiyo ni jambo kubwa na mimi nafurahi lakini nawausia kwamba wanaweza kuwa bora kuliko...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Thursday, 13 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News