Mchongo kamili wa Stars AFCON ni huu

Mbinu ya kujilinda katika sehemu kubwa ya mchezo na kushambulia kwa kushtukiza iliyotumiwa na Taifa Stars dhidi ya Mafarao wa Misri katika mechi ya kirafiki juzi, imeakisi kile alichodhamiria kufanya kocha Emmanuel Amunike katika Fainali za Mataifa ya Afrika zitakazoanza Juni 21 nchini Misri....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi Michezo - Saturday, 15 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News