Mchungaji Msigwa atolewa bungeni Mjadala wa Kumpongeza Rais Magufuli Ukiendelea

Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (Chadema), ametolewa nje ya ukumbi wa Bunge, wakati Bunge likijadili azimilio lililowasilishwa bungeni na Mbunge wa Singida Magharibi (CCM), Elibariki Kingu, la kumpongeza Rais John Magufulu kwa hatua aliyochukua juu ya kununua zao korosho.Chanzo cha kutolewa nje Msigwa ilikuwa ni mchango wa Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Jackline Ngonyani, ambaye alikuwa akichangia azimio hilo huku akiwaponda wapinzani.Katika mchango wake alisema wapinzani wamekuwa mabingwa wa kupinga kila kitu kuanzia suala la makinikia na hata Mradi wa Umeme wa Mto Rufiji.“Wakati wa suala la makinikia...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Wednesday, 14 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News