Mdude CHADEMA ataja sababu ya Yeye Kutekwa na Wasiojulikana

Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mdude Nyagali amesema licha ya kupotea hivi karibuni kwa kile alichokidai kuwa ni kutokana na misimamo yake, alifikia hatua ya kukata tamaa ya kuishi.Mdude ametoa kauli hiyo jijini Dar es salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari, ambapo ameeleza namna tukio hilo lilivyotokea.  "Mimi nilikata tamaa ya kuendelea kuishi na nilishaomba sala ili Mungu aipokee roho yangu, mwacheni Mungu aitwe Mungu, Mungu ni fundi", amesema Mdude.Aidha Mdude amesema kuwa, "moja ya vitu ambavyo vinashangaza, sikuguswa maeneo mengine zaidi ya kupigwa kichwani lakini...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Monday, 20 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News