Mejeruhi moto wa mafuta wagombewa

Christina Gauluhanga Na Faustine Madilisha (TUDARCO)-Dar es salaam HOSPITALI ya Taifa Muhimbili imeamua kutumia vipimo vya vinasaba (DNA), kutambua ndugu wa majeruhi wa moto wa lori la mafuta waliolazwa hospitalini hapo, baada ya kujitokeza watu wasiojuana kila mmoja akidai kuwa na uhusiano na wagonjwa hao. Utata mwingine ni watu hao kutoa alama za utambuzi kwa wagonjwa hao kuwa ni walionyoa nywele mtindo wa kiduku, ilihali karibu majeruhi wote hao wamenyoa mtindo huo. Alama nyingine wanayotumia kudai kuwa ni ndugu zao, ni kusema wana miguu mikubwa ilihali wagonjwa wote hao miguu...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 3 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News