Meneja Kiongozi wa Uhusiano wa PSSSF Bi. Eunice Chiume Atembelea Vyombo Vya Habari Jijini Dar es Salaam.

Bi. Eunice Chiume akizungumza katika kutano huo wa pamoja na uongozi wa gazeti la Nipashe na The Guardian.NA K-VIS BLOG/Khalfan SaidMENEJA Kiongozi Uhusiano, Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Bi.Eunice Chiume, amefanya ziara ya kutembelea vyombo vya habari vinne jijini Dar es Salaam leo Juni 10, 2019 kwa lengo la kueleza shughuli za Mfuko huo ikiwa ni pamoja na kujenga mahusiano mema ya ushirikiano baina ya Mfuno na tasnia ya habari.Katika ziara hiyo iliyoanzia kwenye ofisi za The Guardian Limited Mikocheni jijini Dar es Salaam, Bi....

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News