Meneja Simba afungiwa ndani na nje

Kamati ya maadili ya TFF imemfungia meneja wa klabu ya Simba Richard Robert kutojihusisha na mpira wa miguu ndani na nje ya nchi kwa kipindi cha mwaka mmoja na faini ya shilingi milioni 4 baada ya kumkuta na hatia ya kuihujumu timu ya taifa na kutotii maagizo ya TFF. Adhabu ya kuhujumu ni kwa mujibu wa kifungu 5 (2), kifungu cha 6(c) na (h) vya kanuni za maadili za TFF toleo la 2013 na adhabu ya kutotii maagizo ya TFF ni kwa mujibu wa kifungu cha 41 (8) cha kanuni...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News