Meneja wa Maabara wa Tume ya Madini Adakwa kwa tuhuma za wizi wa Madini ya serikali

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linamshikilia Dornald Joseph Njonjo (30) Meneja wa Maabara wa Tume ya Madini kwa tuhuma za kuiba madini ya dhahabu mali ya serikali kilogram 6.244 yenye thamani ya Tsh 507,347,000/= yaliyokuwa yamehifadhiwa kwenye Kasiki katika ofisi za wakala wa madini Masaki Jijini Dar es salaam.Mnamo tarehe 29, Juni, 2019 Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam lilipata taarifa kutoka kwa Ndugu ALLY SADICK(40) afisa madini Mkoa wa Dar es Salaam baada ya kugundua kuibiwa madini hayo ya dhahabu.Jeshi la Polisi baada...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News