Meneja wa Simba atupwa ‘jela’ ya soka

KAMATI ya Maadili ya Shirikisho la Mpira Miguu Tanzania (TFF) kupitia mwenyekiti wake Hamidu Mbwezeleni imemfungia Meneja wa Simba, Robert Richard kutojihusisha na soka kwa kipindi cha mwaka mmoja pamoja na faini ya shilingi 4, baada ya kukutwa na makosa mawili ya kimaadili. Anaripoti Kelvin Mwaipungu. … (endelea). Kosa la kwanza alilokutwa nalo meneja huyo ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News