Messi ampigia saluti Ronaldo

MADRID, Hispania STRAIKA Lionel Messi, amempigia saluti mwenzake, Cristiano Ronaldo, kwa jitihada alizozifanya juzi ikiwa ni baada ya yeye kuonesha kiwango kizuri kilichoisaidia Barcelona kuichapa Lyon katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya 16 bora. Katika mchezo huo uliopigwa katika Uwanja wa Nou Camp, Messi alifunga mabao mawili na kutengeneza mengine mawili yaliyoifanya Barca kuondoka na ushindi wa mabao 5-1, zikiwa ni wiki tatu baada ya mchezo wa kwanza timu hizo kushindwa kutambiana. Ushindi huo ulikuja ikiwa ni baada ya juzi  hasimu wake, Ronaldo kutupia ‘hat-trick’ iliyoisaidia Juventus ...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News