MEYA AITAKA JAMII KUSAIDIA WENYE MAHITAJI

Na MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM MSTAHIKI Meya wa Jiji la Dar es Salaam,  Isaya Mwita ameishauri jamii kujitoa kwa hali na mali kuwasaidia watoto wenye ulemavu kupata elimu ili kutatua changamoto zinazowakabili. Akizungumza kwenye mahafali ya 45 ya darasa la saba ya Shule ya Walemavu ya Jeshi la Wokovu, iliyopo jijini Dar es Salaam juzi, Mwita alisema kwa sasa watu wenye ulemavu wanaonekana hawafai na hawapati nafasi katika jamii. “Ninashauri jitihada mahususi zitumike kuwatambua watu hao na kuhakikisha wanapata elimu na kutambuliwa na jamii,” alisema Mwita. Alisema katika sekta ya...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News