Meya Dar aamuru polisi wenye silaha kutoka ukumbini

Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita amewataka polisi wenye silaha za moto kutoka nje ya ukumbi wa Baraza la Madiwani wa jiji hilo kwa madai kuwa uwapo wao unawatisha wajumbe wa baraza hilo....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News