Mgogoro Wa Mpaka Na Mapato Ya Madini Halmashauri Mbili Wamalizwa

Na Issa Mtuwa “WM” Nachingwea MtwaraMgogoro ulio dumu kwa muda mrefu  kuhusu mpaka wa uchimbaji madini uliohusisha eneo (leseni) moja kwenye ardhi ya halmashauri za wilaya mbili ya Nachingwea na Liwale  kila upande ukiwa na wachimbaji wadogo umetatuliwa na Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo tarehe 15/08/2019 mara baada ya kufanya ziara katika eneo hilo na kufanya mkutano na wachimbaji wadogo wa pande zote mbili na viongozi wa kuu wa wilaya zote mbili.  Mgogoro huo wa mpaka na leseni umedumu kwa muda mrefu ukiwa na vyanzo viwili vikuu vya mgogoro....

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Yesterday

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News