Mgogoro Wa Uendeshaji Kinu Cha Nafaka Cha Arusha Wamalizika

HATIMAYE mgogoro wa muda mrefu wa uendeshaji wa kinu cha kusagisha nafaka kilichopo Arusha kati ya Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko na Kampuni ya Monaban Trading and Farming ya jijini Arusha umemalizika baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuingilia kati.Kufuatia kumalizika kwa mgogoro huo na Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko kukabidhiwa uendeshaji wa kinu hicho, Waziri Mkuu amemuagiza Waziri Kilimo, Japhet Hasunga aisimamie Bodi hiyo na kuhakikisha inaendeleza kinu hicho ili kiwe na tija kwa wakulima na Taifa kwa ujumla.Waziri Mkuu ametoa maagizo hayo leo (Jumatano, Juni 12,...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Wednesday, 12 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News