Miaka Mitatu ya JPM Imeongeza Ari ya Kufanya Kazi - Majaliwa.

*Ameimarisha nidhamu, uadilifu kwenye utumishi wa umma*Ameboresha miundombinu ya reli, barabara, nishati, elimu na afyaWAZIRI MKUUKassim Majaliwa amesema Rais Dkt. John Magufuli katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wake, amefanikiwa kuimarisha nidhamu, uadilifu na uwajibikaji ndani ya utumishi wa umma pamoja, kukemea uzembe na kujenga ari ya kufanya kazi.Mafanikio mengine ni ununuzi wa meli katika ziwa Nyasa, Tanganyika na Victoria pamoja na kufufua Shirika la Ndege la Tanzania ili kuimarisha usafiri wa anga na kukuza sekta mtambuka zikiwemo za utalii, afya, kilimo na kujenga reli ya kiwango cha kimataifa (SGR).Waziri Mkuu...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Friday, 14 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News