Michael Owen atabiri bingwa wa UEFA

Tokea mwaka 2012/13 hakuna timu nyingine zaidi ya Madrid ya na Barcelona zilizotwaa ubingwa wa klabu bingwa. Kwa kipindi kirefu vilabu vya England vimekuwa underdogs kwenye michuano hii kabla ya Liverpool kutinga fainali hizo mwaka jana. Kwa sasa Madrid ambao wamekuwa wasumbufu wakubwa hawapo tena. Mabingwa hao wa jiji la Madrid walitwaa makombe 4 kati ya 5 chini ya kocha wao Zinedine Zidane ambaye amerejea tena. Msimu huu ligi kuu ya England imeng’ara sana katika michuano hiyo. Timi zote zimepita kwa kishindo mara baada ya kushinda mechi za ugenini. Wow!...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News