Michael Wambura ametangaza kuachana na soka
Aliyekuwa Makamu wa Rais wa TFF Michael Wambura anashikiliwa na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU kwa tuhumba zinazomkabili.Wambura pia kupitia kwa Mwanasheria wake Emmanuel Muga imeelezwa ameridhia adhabu ya kufungiwa Maisha na TFF na FIFA.Pamoja na hayo Wambura kupitia kwa mwanasheri wake Emmanuel Muga ametangaza kuwa kwa sasa kuanzia leo February 11 2019, anaachana rasmi na shughuli za mpira wa miguu, atabaki kama mtu wa kawaida tu.Hata hivyo Wambura pia ameamua kufuta kesi zote alizokuwa amezifungua kuhusiana na kupinga maamuzi ya kamati ya maadili ya TFF....
Published By: Mpekuzi Huru - Monday, 11 February
Toa Maoni yako hapa - Add your comment