Michuano ya Ndondo Cup Jimbo la Chumbuni Kutimua Vumbi Jumamosi Mshindi Kuibuka na Gari ya Aina ya Suzuki Carry.

Mwenyekiti wa mashindano ya Jimbo la Chumbuni Ndondo Carry Cup Shazil Foum Khamis akipokea ufunguo na namba ya gari ya mshindi wa kwanza alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika Hoteli ya Maruhubi Beach Villa iliopo mtaa wa Maruhubi. Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Ussi Salum Pondeza akionyesha moja ya jezi ambazo zitatumika kwenye mashindano ya vijana ya Jimbo la Chumbuni “Jimbo la Chumbuni Ndondo Carry Cup” yatakayoanza tarehe 14.7.2019 katika Uwanja wa Saateni.Mbunge wa Jimbo la Mwembemakumbi Ussi Salum Pondeza akizungumza na waandishi wa habari katika Hoteli ya Maruhubi Beach...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News