Mikoa 14 yaanza kampeni upimaji VVU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema hadi sasa mikoa 14 imeanza kutekeleza kampeni ya kitaifa ya kupima virusi vya ukimwi (VVU) kwa hiyari, pamoja na kuanza mapema matumizi ya dawa za kufubaza makali ya virusi vya ukimwi (ARV) kwa watakaogundulika kuwa na maambukizo....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Friday, 14 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News