MILAN WAMVUTIA KASI FABREGAS

MILAN, Italia   UONGOZI wa AC Milan unajadili uwezekano wa kumsajili mido wa kimataifa wa Hispania, Cesc Fabregas. Fabregas mwenye umri wa miaka 31, amekuwa akitakiwa Milan kwa muda mrefu, tangu akiwa mchezaji wa Arsenal. The post MILAN WAMVUTIA KASI FABREGAS appeared first on Bingwa....

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News