Minziro ashindwa kuvumilia muziki wa Niyonzima

NA WINFRIDA MTOI VITU adimu alivyofanya kiungo wa Simba, Haruna Niyonzima, katika mchezo wa  marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), vilimfanya kocha msaidizi wa zamani wa Yanga, Fred Minziro kushindwa kuvumilia na kujikuta akishangilia. Mchezo huo uliochezwa juzi  kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam,  Simba walishinda 2-1 na kufanikiwa kutinga robo fainali. Niyonzima aliyeingia dakika ya 57 kuchukua nafasi ya Emmanuel Okwi, alionyesha kiwango cha hali ya juu na kubadilisha mchezo hasa eneo la kiungo ....

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Monday, 18 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News