MISS TANZANIA AYATAZAMA MASHINDANO YA DUNIA

NA JEREMIA ERNEST MSHINDI wa shindano la Miss Tanzania 2018, Queen Elizabeth Makune, ametoa ahadi ya kufanya vizuri katika mashindano ya urembo ya dunia yanayotarajia kufanyika Novemba mwaka huu nchini China. Queen Elizabeth, alilitwaa taji la Miss Tanzania kutoka kwa Diana Edward (Miss Tanzania 2016/17) juzi katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano ya Kimataifa wa Julius Nyerere, Posta Dar es Salaam baada ya kupenya kwenye mchuano mkali wa warembo 20 kutoka kanda mbalimbali nchini akifuatiwa na Nelly Kazikazi, Sandra Giovinazza kutoka Arusha. Akizungumza na Papaso la Burudani baada ya ushindi...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News