Mjue Felix Tshisekedi rais ajaye DRC

Sehemu kubwa ya maisha yake, Felix Tshisekedi yalikuwa yanafunikwa na kivuli cha baba yake Etienne, kiongozi mkongwe machachari wa upinzani aliyekuwa akiingizwa gerezani na kutolewa na kutumikia serikali, katika kipindi takriban cha miaka 60 ya harakati zake za siasa mpaka alipofariki mwaka 2017....

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News