Mkataba kuondoa vikwazo kwa wafanyabiashara EAC wasainiwa

Baraza la Biashara la Afrika Mashariki (EABC) limesaini mkataba wa makubaliano wa miaka mitano na taasisi ya Trade Mark East Africa (TMEA) kutekeleza mradi wa kuondoa vikwazo kwa wafanyabiashara katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaoanza mwaka huu....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Monday, 15 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News