Mke wa Icardi ataka Tsh bilioni 30, Madrid yamwekea Koulibaly Tsh bilioni 270

Inasemekana Chelsea wapo mbioni kuvunja mkataba wa mkopo wa Michy Batshuayi kutoka klabu ya Valencia. Michy ameitumikia Valencia mwezi mmoja tu na klabu ya Chelsea ipo mbioni kumrudisha mapema darajani. Klabu ya Real Madrid ipo tayari kutoa dau la £90M sawa Tsh Bilioni 270 ili kumnasa Kalidou Koulibaly anayewaniwa na klabu ya Man United. Klabu ya Arsenal ipo mbioni kunasa huduma za kiungo kutoka Porto Hector Herrera ili kuziba pengo la Aaron Ramsey. Herrera mwenye miaka 28 mkataba wake unaisha mwezi june. Unai pia anawania kuoata huduma za winga wa...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News