Mkurugenzi aingilia kati mgogoro walimu, wazazi kugombea shule

Bethsheba Wambura, Dar es Salaam Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kinyamwezi iliyopo Pugu jijini Dar es Salaam ambao walikosa nafasi katika shule hiyo na kuhamishiwa katika majengo ya Shule ya Msingi Kinyamwezi wameagizwa  kurudi katika shule yao ili kuwapisha wanafunzi wanaoanza elimu ya msingi na awali mwaka huu. Majengo hayo ya Shule ya Msingi Kinyamwezi ambayo yalijengwa tangu mwaka 2016 yalikuwa hayajaanza kutumika kwa sababu yalikuwa hayajatimiza vigezo vya kusajiliwa kama shule kutokana na kukosekana ofisi za walimu na vyoo hivyo wanafunzi wa sekondari waliokosa nafasi walipelekwa kwa muda kusomea...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News