Mkurugenzi tukio la mauaji Itigi apandishwa kizimbani

Mkurugenzi wa halmashauri ya Itigi, Pius Luhende (54) na washtakiwa wengine sita  leo Jumatatu Februari 11, 2019 wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi mkoani Singida wakikabiliwa na shtaka moja la mauaji ya Isaka Petro....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Monday, 11 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News