Mkurugenzi wa Mabasi ya Mwendo Kasi, Robert Kisena Kortini Kwa Kusababisha Hasara ya Bilioni 2

Mkurugenzi wa UDART, Robert Kisena(46) na wenzake watatu wamesomewa mashitaka 19 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ikiwemo utakatishaji fedha wa Mil.603 na kuisababishia hasara UDART ya Bil.2.41.Mbali ya Kisena, Washtakiwa wengine kwenye kesi hiyo ni Kulwa Kisena (33), Charles Newe (47) na Cheni Shi (32).Washtakiwa hao walisomewa mashtaka yao jana mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba.Upande wa Jamhuri uliongozwa na Mawakili wa Serikali, George Barasa, Ester Martin, Moza Kasubi na Imani Imtumezizi.Barasa alidai kuwa washtakiwa wanakabiliwa na mashtaka hayo likiwamo moja la kuongoza uhalifu, kujenga kituo cha mafuta...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Monday, 11 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News