Mkutano wa SADC wawarejesha Tanzania mabalozi 42

Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Dk Hassan Abbasi amesema tayari mabalozi 42 wa Tanzania wanaowakilisha katika nchi mbalimbali duniani wamewasili nchini kushiriki Mkutano wa 39 wa Wakuu na Serikali katika Nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya kusini mwa Afrika(SADC)....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Tuesday, 13 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News