Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Venance Mabeyo Asema dhana ya kulitegemeza Kanisa inatakiwa kufanyika kwa umakini

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Venance Mabeyo amesema dhana ya kulitegemeza Kanisa inatakiwa kufanyika kwa umakini ili lsiathiri shughuli za kiroho za Kanisa Katoliki.Mabeyo ameyasema hayo leo Jumapili Juni 16, kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Halmashauri ya Walei iliyoongozwa na Kardinali Polycarp Pengo na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwamo Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro, Kamishna wa Uhamiaji, Anna Makakala, Spika mstaafu, Anna Makinda na Rais mstaafu wa Bunge la Afrika, Getrude Mongela.Amesema jambo hilo liwe ni la kiimani zaidi na muumini afundishwe kwanini anatakiwa...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Sunday, 16 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News