Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo atua Njombe..... atoa neno mauaji ya watoto

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo ametinga mkoani Njombe na kufanya mkutano wa ndani na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Njombe pamoja na vikosi maalumu vilivyopo mkoani humo kwa ajili ya kuchunguza matukio ya mauaji ya watoto.Akizungumza na waandishi wa habari mkoani Njombe Mabeyo amesema ;“vyombo vya ulinzi na usalama vinafanya kazi kwa kushirikiana pamoja na jeshi, na mimi ndiye mwenyekiti wa vyombo vyote vya ulinzi hivyo ninaowajibu na si kwamba jeshi limeingia sasa, hapana hatujafikia hatua ya kuingiza jeshi,”"Wananchi karibu nchi nzima...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Monday, 11 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News