Mkuu Wa Wilaya Korogwe Ahimiza Wananchi Kulipa Kodi Kwa Wakati

Na Veronica KazimotoMkuu wa Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga Kissa Kasongwa amewahimiza wananchi kulipa kodi kwa wakati ili kuiwezesha Serikali kutekeleza miradi mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuboresha huduma za jamii kwa lengo la kuleta maendeleo nchini.   Akizungumza wakati wa ufunguzi wa Wiki ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi inayofanyika wilayani humo, Mkuu huyo wa Wilaya amesema kuna miradi ya huduma za jamii inayojengwa katika Wilaya ya Korogwe ikiwemo Hospitali ya Wilaya, miradi ya barabara, maji, umeme na elimu ambayo yote inategemea kodi ili iweze kukamilika.“Bado Korogwe kiwango chetu cha...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Tuesday, 14 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News