Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Miraji Mtaturu Ashinda Kura za Maoni CCM Kumrithi Tundu Lissu

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Singida Mashariki, wamepiga kura kupata mwana CCM mmoja ambaye atapeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Julai 31.Katika mkutano huo uliofanyika jana, wanachama 13 walichuana katika uchaguzi huo na Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Miraji Mtaturu, ameongoza kura za maoni kwa kupata kura 396.Uchaguzi huo unafanyika baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Tundu Lissu kupoteza sifa za kuwa mwakilishi wa wananchi kwa kushindwa kutoa taarifa za mahali alipo pamoja na kutojaza fomu za mali na madeni.Kutokana na hatua hiyo,...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News