Mme, mke kortini tuhuma za uhujumu uchumi, wenzao wasakwa

Zakayo Mazula (30) akiwa na mke wake Jasmine Ngongolo (30)  wakazi wa Salasala wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam pamoja na wengine wawili ambao hawapo wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu nchini Tanzania wakikabiliwa na mashtaka matano likiwemo la utakatishaji fedha kiasi cha dola za kimarekani 4000....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Yesterday

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News