Mmiliki Lucky Vincent ahukumiwa miaka minne jela

Janeth Mushi, Arusha Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, imemtia hatiani Mkurugenzi wa Kampuni ya Lucky Vincent, Innocent Mushi na kumhukumu kifungo cha miaka minne na miezi sita jela au faini ya Sh milioni moja na nusu. Hukumu hiyo imetolewa baada ya kumkuta na hatia katika mashtaka manne yaliyokuwa yakimkabili huku Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule hiyo Vincent Longino, aliyekuwa akikabiliwa na kosa moja, kutakiwa kulipa faini ya Sh 500,000 au kutumikia kifungo cha mwaka mmoja jela. Katika kesi hiyo watuhumiwa hao walikuwa wakikabiliwa na makosa ya usalama barabarani iliyosababisha vifo...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News