Mmiliki wa Mwendokasi kizimbani kwa uhujumu uchumi

MKURUGENZI wa Shirika la Usafirishaji Dar es Salaam (Udart), Robert Kisena na wenzake watatu wamepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa madai ya kuhujumu uchumi. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Washtakiwa wengine ni pamoja na Kulwa Kisena, Charles Nawe na Chen Shi, Raia wa China. Leo tarehe 11 Februari 2019 Wakili wa Serikali, ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Monday, 11 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News