Mnyika ahoji tatizo la umeme jimboni kwake

Ramadhan Hassan ,Dodoma Mbunge wa Kibamba,John Mnyika amehoji ni kwanini tatizo la kukatika kwa umeme katika Jimbo lake. Akiuliza kwa niaba Mnyika,Mbunge wa Ubongo,Saed Kubenea Leo bungeni Mei 24,amehoji kuhusiana na tatizo la kukatika umeme katika Jimbo la Kibamba. “Je, ni kwanini tatizo la kukatika umeme katika Jimbo la Kibamba halijapatiwa ufumbuzi. ” Je,maeneo gani mpaka sasa Tanesco haijafikisha umeme,”amehoji. Akijibu,Naibu Waziri wa Nishati,Subira Mgalu amesema kukatika kwa umeme inatokana na zoezi la kuhamisha miundombinu ya umeme ili kupisha upanuzi wa barabara ya Dar es salaam -Morogoro. Amesema maeneo ambayo...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Friday, 24 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News