MO abeba dili la Ajibu

MASHABIKI wa Simba wakiwa bado wamejawa na furaha baada ya chama lao kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huenda raha ikaongezea zaidi kufuatia taarifa za vigogo wa klabu hiyo kuwapo mbioni kumrejesha mchezaji wao wa zamani, Ibrahim Ajibu kikosini kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Monday, 18 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News