MO Dewji adaiwa kutekwa alfajiri ya leo

MFANYABIASHARA Mohammed Dewji, anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana waliokuwa na silaha za moto leo saa 11 Alfajiri wakati akiingia kufanya mazoezi Gym ya Colosseum, Oysterbay Dar es salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, inasemekana watu hao wamefyatua risasi hewani kuwatishia watu walikuwa karibu na eneo hilo kabla ya kuondoka ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Thursday, 11 October

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News