Mo Dewji Aipongeza Yanga...Amwaga Bodaboda Kwa Wachezaji Na Kutangaza Hatma Ya Kocha.

Na Bakari Chijumba.Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Timu ya SimbaSC , Mo Dewji amesema baada ya Kocha Mkuu wa Klabu hiyo,Patrick Aussems kutimiza malengo yaliyowekwa na Klabu,tayari bodi imepanga kukaa naye na kumuongezea mkataba mpya ili aendelee kuifundisha Simba SC.Kuhusu ahadi ya Milioni 5 kwa kila mchezaji baada ya ubingwa, Mo Dewji amesema hakutoa ahadi hiyo bali alisema atatoa zawadi ya Pikipiki(Boxer) kwa kila mchezaji na tayari amewapa ili kuinua vipato vyao,MO amesema wakiweka watu wa kuziendesha zitawaingizia kipato.Dewji amesema ameshaongea na viongozi wa klabu ya DC United ya...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Wednesday, 22 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News