Mradi wa Best Of Zanzibar Yakabidhi Kituo Cha Watu Wenye Ulemavu wa Jimbo la Shaurimoyo Zanzibar.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Mkurungenzi Mkuu wa Kampuni ya Pennyroyal Ltd Bw. Brian Thomson, alipowasili katika viwanja vya Kituo cha Watu Wenye Ulemavu wa Jimbo la Shaurimoyo kilichojengwa na Kampuni yake kupitia Mradi wa Best of Zanzibar, wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi na kukabidhi Kituo hicho Kwa Wananchi wa Jimbo hilo.baada ya kuweka jiwe la msingi, kulia Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud. Makamu wa Pili wa Rais wa Zazibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 11 October

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News