Msafara mashabiki Stars wafika Mpakani

Zaidi ya mashabiki 50 wamesafiri kwa basi kutoka Tanzania kwenda Lesotho kuipa sapoti Stars ambao wataungana na wenzao watakaosafiri kwa usafiri wa anga na wengine ni wale waishio nchi za Afrika Kusini, Swaziland na Lesotho....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Wednesday, 14 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News