Msafara wa Rais Magufuli Wapata Ajali Simiyu....Waandishi wajeruhiwa

Gari lililokuwa limebeba waandishi wa habari wa Mkoa wa Simiyu limepata ajali kwenye msafara wa Rais John Magufuli wilayani Meatu ambapo liligongwa na magari mengine kwa nyuma.Waandishi wa habari watatu, Adan Mhando wa Channel Ten, Faustine Fabian wa Mwananchi, Rehema Evansi wa Azam TV, na Mpiga picha wa ITV, wamepata majeraha madogomadogo na wamekimbizwa hospitali ya wilaya Meatu....

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Sunday, 9 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News