Msekwa Awajibu Waliponda Baada ya Kuteuliwa na Rais Magufuli Kuwa Mkuu wa Chuo MUST

Spika wa  Bunge Mstaafu, Pius Msekwa amesema uteuzi wake wa kuwa mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia (MUST) uliofanywa na Rais John Magufuli Desemba 6 ,2018 hakukosea na kwamba anatambua utendaji wake na uzoefu alionao kwa kuongoza baadhi ya vyuo vikuu nchini Tanzania kikiwapo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udsm).Alisema hayo jana Jumamosi Desemba 15, 2018 alipokuwa akizungumza katika mahafali ya sita ya chuo hicho, ambapo alikuwa kivutio kutokana na staili yake ya kutumia vifungu vya biblia na kutoa mifano ya namna alivyokuwa akiliendesha Bunge."Kwanza kuna kila...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Saturday, 15 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News