Msekwa: Tumepokea barua ya Makamba, Kinana

Na Elizabeth Hombo -Dar es salaam KATIBU wa Baraza la Ushauri la Viongozi Wakuu Wastaafu wa CCM, Pius Msekwa, amesema wanasubiri vikao vya chama hicho tawala kuamua juu ya kile kilichoandikwa katika barua ya malalamiko ya makatibu wakuu wawili wastaafu, kwamba wamedhalilishwa kwa mambo ya uzushi na uongo. Juzi, makatibu wakuu hao wawili wastaafu wa CCM, Yusuf Makamba na Abdulrahman Kinana, walimwandikia barua Msekwa wakilalamika kudhalilishwa kwa mambo ya uongo na mtu anayejitambulisha kama mwanaharakati na mtetezi wa Serikali. Akizungumza na MTANZANIA jana, Msekwa alisema tayari barua ya malalamiko ya...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Monday, 15 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News