MSEMAJI MKUU WA SERIKALI DKT. HASSAN ABBASI AIPONGEZA PSSSF KWA KUANZA VIZURI KUTEKELEZA MAJUKU YAKE

Msemaji Mkuu wa serikali ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari Maelezo, Dkt. Hassan Abbasi, (kushoto), akipeana mikono na Meneja Kiongozi Uhusiano na Elimu kwa Umma, Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma, (PSSSF), Bi. Eunice Chiume baada ya mazungumzo yao ofisini kwa Dkt. Abassi jijini Dar es Salaam leo Juni 15, 2019. Bi. Chiume ambaye alikuwa katika ziara ya kuvitembelea vyombo vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii jijini Dar es Salaam, amehitimisha ziara hiyo kwa kufanya mazungumzo na Dkt. Abassi.NA K-VIS BLOG/Khalfan SaidMSEMAJI Mkuu wa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Saturday, 15 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News