Mshahara wa Lissu, sasa kaa la moto

MJADALA juu ya kusimamishwa mshahara wa Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, umezidi kupamba moto. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Lissu ambaye yuko nchini Ubelgiji anakoendelea na matibabu yake, yuko katika hatari ya kuzuiwa mshahara wake n ahata kutenguliwa ubunge wake. Akizungumza bungeni jana asubuhi, tarehe 7 Februari 2019, Spika wa Bunge la Jamhuri, ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Friday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News